Kiatu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Shoe BNC.jpg|thumb|[[Jozi]] la viatu rasmi.]]
[[File:Skor från 1700- till 1960-talet - Nordiska Museet - NMA.0056302.jpg|thumb|[[Maonyesho]] ya aina mbalimbali za viatu.]]
'''Kiatu''' ni [[bidhaa]] yenye lengo la kulinda na kustarehesha [[mguu]] wa [[binadamu]] wakati wa kufanya [[shughuli]] mbalimbali. Pia kutumika kama bidhaa ya mapambo na [[mitindo]], hasa kutokana na aina mbalimbali sana, tena tofauti kati ya [[utamaduni]] na utamaduni.
 
wa [[binadamu]] wakati wa kufanya [[shughuli]] mbalimbali. Pia kutumika kama bidhaa ya mapambo na [[mitindo]], hasa kutokana na aina mbalimbali sana, tena tofauti kati ya [[utamaduni]] na utamaduni.
 
Zaidi ya hayo, mitindo mara nyingi imefanya wengi kubuni mambo, kama vile viatu vya [[kisigino|visigino]] virefu au tambarare. Tofauti ya [[gharama]] yake inatumika pia kujenga matabaka kati ya watu. Viatu viliiyotolewa na wabunifu maarufu vinaweza kuwa vya vifaa ghali, na kuuzwa kwa [[Mia|mamia]] au hata [[Elfu|maelfu]] ya [[dola za Marekani]].