Neno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Neno''' ni sehemu fupi ya [[lugha]] yenye maana. Ni sauti inayotamkwa au kuandikwa pamoja na kutaja jambo fulani.mfano [[moja]]
 
maana nyingine.Neno ni mkusanyiko wa silabi na konsonati
Neno linaweza kuwa fupi lenye [[mofimu]] (yaani sauti inayowakilisha maana fulani) moja tu au kuwa ndefu lenye mofimu mbalimbali. Kwa kawaida ni mkusanyiko wa [[silabi]] kadhaa, zikiwemo [[konsonanti]] na [[vokali]].
 
Wataalamu wanaona neno ni sehemu ya lugha yenye kituo kidogo mbele na nyuma yake, au kwa maandishi jumla ya [[herufi]] zenye maana zilizotengwa kwa nafasi nyuma na mbele.
Mstari 11:
Si wazi mara moja kwa wakilizaji wanaosikia haya mara ya kwanza kama ni neno moja au maneno mawili.
 
Wataalamu wa lugha hutofautiana aina za maneno kama vile [[nomino]], [[kitenzi]], [[kivumvishi]], [[kielezi]], [[kiunganishi]] [[kiwakilishi]] na [[kihishikihisishi]]
 
Maneno kwa pamoja yanaunda [[sentensi]] yakifuata masharti ya [[sarufi]] katika lugha.
 
==Tazama pia==
*[[Aina za maneno]]
 
 
{{mbegu-lugha}}