Athi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 11 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1508817 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Athi''' ni [[jina]] la [[mto]] katika [[Kenya]], [[Afrika Mashariki]]. Sehemu za mto hujulikana pia kwa majina ya '''Galana''' na '''Sabaki''', kwa hiyo mto wote huitwa pia '''Athi-Galana-Sabaki'''.
 
Ina [[urefu]] wa [[kilomita]] 390 , na [[beseni]] yenye eneo la [[Km²]] 70,000 km ².
 
Mto wa Athi umeupatia jina lake kwa [[mji]] wa [[Athi River]] karibu na [[Nairobi]] pia kwa kampuni ya [[Athi River Mining]].
 
Athi inaanza karibu na Nairobi ikielekea [[Bahari Hindi]]. Inapita [[Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo Mashariki]] pia [[tambarare]] ya juu ya [[Yatta]] ilipotafuta njia yake kuvukia eneo kubwa la [[mawe]] ya kivolkano[[volkeno|kivolkeno]].
 
Baada ya [[maporomoko ya maji]] ya [[Lugard]]s Falls inapokea [[mto Tsavo]] ikibadilika jina lake. Mto unaitwa kuanzia hapa kwa jina la Galana. Kabla ya kufika katika [[Bara Hindi]] karibu na [[Malindi]] upande wa [[kaskazini]] jina linabadilika tena kuwa Sabaki.
{{mito ya Kenya}}
{{mbegu-jio-Kenya}}
 
[[Jamii:Mito ya Kenya]]