Tofauti kati ya marekesbisho "Ruaha Mkuu"

188 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[File:Dry Great Ruaha River and.jpg|thumb||Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006]] kwenye eneo la [[Hifadhi ya KitaifaTaifa ya Ruaha]].]]
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".
[[File:Dry Great Ruaha River and.jpg|thumb||Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006]] kwenye eneo la Hifadhi ya Kitaifa ya Ruaha]]
 
==Chanzo na mwendo wa mto==
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]].
 
Baada ya Kidatu, Ruaha Mkuu unapita [[tambarare]] ya [[Kilombero]] hadi kuishia katika mto Rufiji.
 
==Matatizo ya ekolojia ya mto==
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[beseni]] yake pamoja na [[watu]] wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu.
 
==Viungo vya nje==
 
{{Mito ya Tanzania}}
{{mbegu-jio-TZ}}
[[Jamii:Mito ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]
[[Jamii:Mkoa wa Iringa]]
[[Jamii:Mkoa wa Morogoro]]
[[Jamii:Mkoa wa Pwani]]