Bujumbura : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 100 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3854 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox Settlement
|jina_rasmi = Jiji la Bujumbura
|picha_ya_satelite = [[Picha:BujumburaFromCathedral.jpg|thumb|320px|Bujumbura Beach.JPGkando la [[ziwa Tanganyika]]]]
|pushpin_map = Burundi
|pushpin_map_caption = Mahali pa mji wa Bujumbura katika Burundi
Mstari 17:
 
}}
[[Picha:BujumburaFromCathedral.jpg|thumb|320px|Bujumbura kando la [[ziwa Tanganyika]]]]
'''Bujumbura''', ni [[Mji Mkuu]] wa [[Burundi]] unaokadiriwa kuwa na idadi ya wakazi 300,000. Mji huu upo kaskazini mashariki mwa [[Ziwa Tanganyika]], na ni mji mkubwa zaidi Burundi, kitovu cha mawasiliano na uchumi nchini humo. Bujumbura ni mji pekee Burundi ambao una bandari ya kupakia mali na bidhaa mbalimbali za kuuza nje. Bidhaa kama [[kahawa]], [[pamba]], ngozi, na madini ya [[tini|stani]]. Kwa kijiographia Bujumbura iko 3°22'34" Kusini, 29°21'36" Mashariki (-3.3761111, 29.36) [http://earth-info.nga.mil/gns/html/cntry_files.html].