Dubu Mdogo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Dubu Mdogo (Ursa Minor) katika sehemu yao ya angani '''Dubu Mdogo''' (kwa Kilatini na ...'
 
Mstari 8:
Dubu Mdogo ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Ursa Minor. <ref>Kwa Kiingereza cha Marekani jina la “Little Dipper” imekuwa kawaida; ‘dipper’ inamaanisha kijiko kikubwa kama upawa wa kuchotea supu </ref>
 
Jina Dubu Mdogo latokana na [[ar.]] الدب الأصغر al dubu al asghar yaani “dubu mdogo zaidi” na jina hili lilitafsiriwa kutoka Kigiriki Μικρή 'Αρκτος mikre arktos iliyokuwa pia asili ya jina la Kilatini Ursa Minor. [[Wagiriki wa Kale]] walipokea kundinyota hii kutoka kwa mabaharia Wafinisia. [[Mitholojia ya Wagiriki]] ina hadithi ya [[Arkas]] mwana wa kando wa mungu [[Zeus]] aliyebadilishwa na babake kuwa dubu na kutumwa angani kama kundinyota.
 
==Nyota==