Mke wa Kurusi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 18:
Sehemu ya kundinyota hii penye nyota 5 angavu zaidi inaonyesha umbo la W au M (kutegemeana na mahali pa mtazamaji) na nyota hizi ni Alpha, Beta, Gamma, Delta na Epsilon Cassiopeiae<ref name=arnold>{{cite book |authors=Arnold, H.J.P; Doherty, Paul; Moore, Patrick |title=The Photographic Atlas of the Stars |publisher=CRC Press |location=Boca Raton, Florida |date=1999 |page=20 |isbn=978-0-7503-0654-6 |url=https://books.google.com.au/books?id=YjcvJUfnWBAC&pg=PA20}}</ref> Nyota tatu kati ya hizi ni [[nyota kigeugeu]] zinazotambuliwa kwa macho bila darubini, maana uangavu unaonekana tofautitofauti wakati wa kuziona. Hasa Gamma Cassiopeiae inaweza kung’aa kushinda alpha Cassiopeiae.
 
Nyota angavu zaidi kwa kawaida ni [[:en:Schedar]] (α Alfa CassiopeiaisCassiopeiae) ikiwa na [[uangavu unaoonekana]] wa 2.2 mag na umbali wake na dunia ni [[miaka ya nuru]] 228 <ref name="vanLeeuwen2007">{{cite journal | first=F. | last=van Leeuwen | title=Validation of the New Hipparcos Reduction | journal=Astronomy and Astrophysics | volume=474 | issue=2 | pages=653–64 | date=2007 | bibcode=2007A&A...474..653V | doi=10.1051/0004-6361:20078357 | arxiv=0708.1752}}</ref>
 
==Tanbihi==