Kifausi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 9:
==Jina==
Kifausi ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi na mabaharia Waswahili walioitumia kupata njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
Jina la Kifausi linatokana na Kiarabu قِيفاوس qaifaus ambalo ni umbo la jina asilia la Kigiriki Κηφεύς Kefeus baadaye Cepheus kwa tahajia ya Kilatini).. Katika [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] alikuwa mfalme wa [[Ethiopia]] na mume wa malkia Cassiopeia ([[Mke wa kurusi]] alieyejivunia kuwa yeye mwenyewe na binti yake Mara (Andromeda) ni wazuri kushinda mabinti wa Poseidon mungu wa bahari. Hapo Poseidon aliamua kumwadhibu kwa kutuma dubwana Ketusi dhidi yake. Kifausi pamoja na malkia yake waliamua kumtoa binti Mara-(Andromeda) kama sadaka kwa Ketusi kwa kumfunga kwenye ufuko wa bahari ili aliwe na dubwana huyu lakini shujaa Farisi (Perseus) akaingia kati na kumwokoa. Baadaye wote waliinuliwa angani kama nyota <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref kwa hiyo tunaona Kifausi (Cepheus) jirani na kundinyota za Mke wa Kurusi (Cassiopeia) na Mara, halafu Ketusi na Farisi aliyekuja kumwokoa Mara katika simulizi ya mitholojia..
 
Jina la Kifausi linatokana na [[Kiarabu]] <big>قِيفاوس</big> qaifaus ambayo ni umbo la jina asilia la [[Kigiriki]] Κηφεύς ''Kefeus'' (baadaye Cepheus kwa tahajia ya Kilatini).
Kifausi ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK kwa jina Kassiopeia. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Cepheus. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Cas'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
Jina la Kifausi linatokana na Kiarabu قِيفاوس qaifaus ambalo ni umbo la jina asilia la Kigiriki Κηφεύς Kefeus baadaye Cepheus kwa tahajia ya Kilatini).. Katika [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] alikuwa mfalme wa [[Ethiopia]] na mume wa malkia Cassiopeia ([[Mke wa kurusiKurusi]]) alieyejivuniaaliyejivunia kuwa yeye mwenyewe na binti yake [[Mara (kundinyota)|Mara]] ''([[:en:Andromeda (constellation)|Andromeda]])'' ni wazuri kushinda mabinti wa [[Poseidon]] mungu wa bahari. Hapo Poseidon aliamua kumwadhibu kwa kutuma dubwana [[Ketusi (kundinyota)|Ketusi]] dhidi yake. Kifausi pamoja na malkia yake waliamua kumtoa binti Mara- (Andromeda) kama sadaka kwa Ketusi kwa kumfunga kwenye ufuko wa bahari ili aliwe na dubwana huyu lakini shujaa [[Farisi (kundinyota)|Farisi]] ''([[:en:Perseus (constellation)|Perseus]])'' akaingia kati na kumwokoa. Baadaye wote waliinuliwa angani kama nyota <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> kwa hiyo tunaona Kifausi (Cepheus) jirani na kundinyota za Mke wa Kurusi (Cassiopeia) na Mara, halafu Ketusi na Farisi aliyekuja kumwokoa Mara katika simulizi yala mitholojia..
 
==Tanbihi==