Kaa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Saratani Cancer.jpg|thumb|400px|Nyota kuu za Saratani (Cancer) jinsi zinavyoonekana angani. <br/> <small>Mistari imeongezwa kwenye picha tu</small>]]
[[Picha:Cancer constellation map.png|350px|thumb|Ramani ya kundinyota Saratani]]
'''Saratani''' ni [[kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana (pia: kwaKaa jina lake la kimagharibi laau '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] ya [[zodiaki]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za Saratani huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi.
Mstari 9:
 
==Jina==
Saratani ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
Jina la Kiswahili ni Saratani na linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea kundinyota hii tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wabebli waliiona kama alama ya kobe ya maji.
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Saratani" limesahauliwa ikiwa kundinyota inaitwa kwa tafsiri tu "Kaa".