Kifausi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
 
'''Kifausi''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] '''[[:en:Cepheus|Cepheus]]''' kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]) <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cepheus" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Cephei " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cephei, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya [[dunia]] yetu.
==Mahali pake==
Kifausi ni kundinyota kubwa karibu na ncha ya angani ya kaskazini lakini ni pana na nyota zake za kusini zinaonekana pia katika Afrika ya Mashariki.