Tofauti kati ya marekesbisho "Mshale (kundinyota)"

no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Picha:Sidney Hall - Urania's Mirror - Sagittarius and Corona Australis, Microscopium, and Telescopium.jpg|thumb|Kausi (sagittarius) jinsi anavyochorwa na msanii]]
 
'''Kausi''' ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]] inayojulikana (pia kwaMshale jina la Kilatiniau '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref> Kwa Kilatini/Kiingereza) ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]].
 
[[Nyota]] za Kausi huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Kausi" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.