Mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Imeandikwa na Elisha the great
d Masahihisho aliyefanya 41.59.31.118 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Mstari 1:
{{wiktionary}}
'''Mazingira''' ni jumla ya mamboyotemambo yote yanayomzuguka kiumbe katika maisha yake. Kwa hiyo kila unacho kiona katika maisha ni mazingira yako.
 
Mazingira huweza kuundwa na vitu mbalimbali; yanaweza kuwa ya asili (kama [[misitu]], [[milima]], [[Ziwa|maziwa]], [[bonde|mabonde]], [[mito]], [[bahari]] n.k.) au ya kutengenezwa na [[binadamu]] (kama [[jengo|majengo]], [[kiwanda|viwanda]] n.k.).
Mstari 34:
* [[Mwingiliano wa maendeleo ya mazingira]], aina ya [[programu]] za kompyuta ya kusaidia katika kuendeleza wataalamu wa kompyuta ili kutengeneza programu
* [[Mazingira ya wakati]], hali ya [[mashine]] isiyo halisi ambayo inatoa huduma ya kuprogramu michakato au mipango ya kuprogramu wakati kompyuta ikiendelea kufanya kazi
===Ushauri kutokana na mazingira===
*Usikate miti ovyo kwa maana hutasababisha ukame \kukosa mvua.
*Usichome mistu
*panda miti kwa wingi
*Usifuge mifugo mingi eneo dogo
*panda mazao yanayo ongeza rutuba kwenye ardhi
 
== Tazama pia ==