Hifadhi ya mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
Pia kutokana na ukataji miti ovyo imepelekea ukosefu wa [[mvua]], na hii imepelekea kuanguka kwa [[kilimo]] duniani na kusababisha [[njaa]] katika baadhi ya maeneo, hasa katika nchi za [[Asia]].
 
Pia [[joto]] kuongezeka: kwa mfano huko [[India]] joto lilipanda juu sana hivyo kupelekea [[Kifo|vifo]].
 
Kwa atharihayo hizi chachemachache tunaona athari za [[uchafuzi wa mazingira]]; ni vyema tukajitahidi kuyatunza mazingira yetu ili kuweza kupata manufaa kutoka kwenye mazingira yetu wenyewe.
 
==Ushauri kuhusu mazingira==
* Usikate miti ovyo kwa maana hutasababisha ukame kwa kukosa mvua.
* Usichome [[misitu]].
* Panda miti kwa wingi.
* Usifuge [[mifugo]] mingi katika eneo dogo.
* Panda [[mazao]] yanayoongeza [[rutuba]] kwenye ardhi.
 
==Viungo vya nje==