Jokofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Food into a refrigerator - 20111002.jpg|thumb|Chakula ndani ya jokofu lililofunguliwa.]]
'''Jokofu''' ni neno ambalo limetafsiriwa ambalo kwa Kiingereza huitwa [[friji]]. Na pia hiki ni kifaa kilichotengenezwa na [[Wazungu]].
[[File:LG refrigerator interior.jpg|thumb|Jokofu lingine kubwa zaidi.]]
 
'''Jokofu''' (pia: '''friji''' kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "fridge", [[kifupisho]] cha "refrigerator") ni chombo kinachotumika mara nyingi kwa kuhifadhi [[vinywaji]], [[vyakula]] na vitu vingine kama hivyo ili viweze kudumu kwa muda mrefu zaidi ya siku zile ambazo zingedumu bila kuhifadhiwa humo.
 
Pia jokofu hutumika kwenye kugandisha vitu kama vinywaji, vyakula n.k. au hutumika kuvipa ubaridi.
 
Ni kifaa kilichotengenezwa na [[Wazungu]] kuanzia katikati ya [[karne ya 18]], na hasa mwanzoni mwa [[karne ya 19]].
 
==Marejeo==
* Rees, Jonathan. ''Refrigeration Nation: A History of Ice, Appliances, and Enterprise in America'' (Johns Hopkins University Press; 2013) 256 pages
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons|Domestic refrigerators}}
* [http://inventors.about.com/library/inventors/blrefrigerator.htm The History of the Refrigerator and Freezers]
* [http://home.howstuffworks.com/refrigerator.htm How Refrigerators Work] Article by [[HowStuffWorks]]
* [https://www.alcainc.com/wp-content/uploads/2016/02/Domestic_Technology2.pdf Refrigerators], [[Canada Science and Technology Museum]]
* [https://www.youtube.com/watch?v=ILggTDscjhM How modern household refrigerators are made] (video)
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Vifaa]]
[[Jamii:Teknolojia]]