Kito (madini) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q83437
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Gem.pebbles.800pix.labelled.jpg|thumb|200px|<center>Vito na majina yao ya Kiingereza<br>"turquoise" ni feruzi; "ruby" ni yakuti; ]]
[[Image:Emerald specimen with matrix.jpg|thumb|200px|Kito cha Zumaridi katika hali asilia pamoja na mwamba wa kawaida]]
'''VitoKito''' (pia: '''johari''', '''mawejiwe yala thamani''') ni [[madini]] adimu na ngumu zinazopendekezazinazopendeza kwa sababu ya [[uangavu]] na [[rangi]] yaoyake. VinapendwaVito mbalimbali vinapendwa na [[watu]] na kutumiwa kama [[Pambo|mapambo]]. Kito chenye [[ugumu]] na [[thamani]] kubwa ni [[almasi]].
 
Mara nyingi vinakatwa, kusuguliwa na kung'arishwa kwa namna mbalimbali na kutumiwa pamoja na [[metali]] adili kama [[dhahabu]] au [[fedha]] kuwa mapambo kama [[pete]], [[hereni]], [[mkufu]] au [[bizimu]].
 
Mifano ya vito ni
Mstari 12:
* [[tanzanaiti]]
 
[[Lulu]] na [[korali]] hutajwa wakati mwingine pia kama kito ingawa si [[minerali]] asilia lakini dutu inayotengenezwa na [[wanyama]].
 
 
 
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Category:Madini| ]]
[[Jamii:Uchumi]]
 
<!-- interwiki -->