Nicolas-Louis de Lacaille : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '240px|thumb|Picha ya Lacaille '''Nicolas-Louis de Lacaille''' (tamka ''nikola lu-i lakaiy'', * 15 Machi 1713 mjini Rumigny, Département...'
 
No edit summary
Mstari 5:
Lacaille alisoma [[theolojia]] (ya kikatoliki) lakini baadaye alikazia elimu ya [[hisabati]] na [[astronomia]]. Mwaka 1746 alikuwa profesa wa hisabati na hapo alishughulika masahihisho ya orodha za nyota.
 
Mwaka 1750 alisafiri [[Afrika Kusini]] kwa miaka 4 na hapo alikaa kwenye [[Rasi ya Tumaini NjemaJema]] alipotaka kutazama hasa [[Mwezi]] na [[sayari]] za [[Zuhura]] na [[Mirihi]]. Alipima pia nyota nyingi za anga ya kusini ambayo haikueleweka bado kwa wanaastronomia wa Ulaya na hapo aliorodhesha nyota karibu 10,000.