Nicolas-Louis de Lacaille : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Lacaille.jpg|240px|thumb|Picha ya Lacaille]]
 
'''Nicolas-Louis de Lacaille''' (tamka ''nikola lu-i de lakaiy'', * [[15 Machi]], [[1713]] mjini Rumigny, Département Ardennes; † [[21 Machi]], [[1762]] mjini [[Paris]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] wa nchini [[Ufaransa]] aliyetunga 14 kati ya [[kundinyota]] 88 za kisasa, zote kwenye nusutufe ya kusini ya Dunia.
 
Lacaille alisoma [[theolojia]] (ya kikatoliki) lakini baadaye alikazia elimu ya [[hisabati]] na [[astronomia]]. Mwaka 1746 alikuwa profesa wa hisabati na hapo alishughulika masahihisho ya orodha za nyota.