Reigen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 22 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q313808 (translate me)
+picha
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Reigen.jpg|right|thumb|Mchoro wa Tenno Reigen]]
'''Reigen''' ([[9 Julai]] [[1654]] – [[24 Septemba]] [[1732]]) alikuwa mfalme mkuu wa 112 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Baba yake alikuwa mfalme mkuu [[Go-Mizunoo]]. Tarehe [[5 Machi]] [[1663]] alimfuata mfalme mkuu [[Go-Sai]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[2 Mei]] [[1687]]. Mwaka wa [[1713]] akawa [[mtawa]] wa [[Buddha]]. Aliyemfuata kama mfalme ni mwana wake [[Higashiyama]].