Nicolas-Louis de Lacaille : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Mwaka 1750 alisafiri [[Afrika Kusini]] kwa miaka 4 na hapo alikaa kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] alipotaka kutazama hasa [[Mwezi]] na [[sayari]] za [[Zuhura]] na [[Mirihi]]. Alipima pia nyota nyingi za anga ya kusini ambayo haikueleweka bado kwa wanaastronomia wa Ulaya na hapo aliorodhesha nyota karibu 10,000.
 
[[Category:waliozaliwa 1713]]
[[Category:Waliofariki 1762]]
[[Category:Wanaastronomia wa Ufaransa]]
[[Category:Wanatheolojia]]