Kokaku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Go-KōkakuEmperor_Kōkaku.jpg|right|thumb|Mchoro wa Go-Kōkaku]]
'''Kokaku''' ([[23 Septemba]] [[1771]] – [[11 Desemba]] [[1840]]) alikuwa mfalme mkuu wa 119 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Morohito''. Mwaka wa [[1780]] alimfuata mfalme mkuu [[Go-Momozono]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[7 Mei]] [[1817]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Ninko]].