Mlima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
== Kilele na vilele ==
Kwa kawaida mlima huwa na [[kilele]] kimoja au zaidi; kwa mfano Kilimanjaro huwa na vilele vitatu vya [[Kibo]], [[Mawenzi]] na [[Shira]]. Kama mlima ni mpana sana vilele vyake vinaweza kuitwa mlima kila mmoja; kama mwinuko fulani hutazamwa kama mlima wa pekee au kama kilele kimojawapo hutegemea uzoefu. Wakati mwingine Kibo hutajwa kama "mlimaMlima" si kama kilele cha Kilimanjaro pekee, halafu kwa maana huu Kilimanjaro si mlima mmoja bali [[safu ya milima|safu ndogo ya milima]].
 
== Milima mikubwa, milima midogo ==