Wabende : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wabende''' ni [[kabila]] la [[Tanzania]] wanaoishi katika [[Mkoa wa Katavi]], [[Wilaya ya Mpanda]].
[[Mwaka]] [[1999]] idadi ya Wabende ilikadiriwa kuwa na watu 27,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=bdp], lakini [[takwimu]] ya mwaka [[2016]] inakadiria kabila la Wabende kuwa na [[idadi]] ya watu 125,000.
 
[[Lugha]] yao ni [[Kibende]].