Wamasai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
[[Picha:Maasai tribe.jpg|right|thumb|Wanaume wa Kimasai, Kenya, 2005.]]
[[Picha:Maasai women and children.jpg|270px|right|thumb|Wanawake wa Kimasai]]
'''Wamasai''' ni [[kabila]] la watu wa kuhamahama wanaopatikana [[Kenya]] na [[Tanzania]]. Kwa sababu ya [[milaMila]] zao, [[mavaziMavazi]] tofauti na kuishi karibu na [[mbugaMbuga]] nyingi za [[Afrika Mashariki]], ni miongoni mwa makabilaMakabila yanayojulikana zaidi hata nje ya [[Afrika]]. <ref name="b"/>
 
Wao wanazungumza [[Maa]], <ref name="b"/> mojawapo ya [[familia]] ya [[lugha za Kinilo-Sahara]] inayohusiana na [[Kidinka]] na [[Kinuer]]. Kwa sababu ya uhamiaji, Wamasai ni wazungumzaji wa Kiniloti wa kusini zaidi. Pia wameelimika katika [[lugha rasmi]] za Kenya na Tanzania: [[Kiswahili]] na [[Kiingereza]].