Waswahili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Waswahili''' ni [[jinaJina]] la kutaja wakazi wa [[mijiMiji]] ya pwaniPwani ya [[Bahari Hindi]] katika [[Afrika ya Mashariki]], hasa [[Tanzania]] na [[Kenya]], ambao ni wasemaji asili wa [[lugha]] ya [[Kiswahili]] kama [[lugha ya kwanza]].
 
[[Neno]] "Swahili" linatokana na [[Kiarabu]] "سواحل" (sawahil) yaani [[pwani]], kwa hiyo maana yake ni "watu wa pwani". Lakini [[wanaisimu]] wengine wanafikiri kwamba [[asili]] ya neno hili ni "siwa hili"<ref>Mazrui, Alamin and Ibrahim Noor Shariff ,1994. ''The Swahili: Idiom and Identity of an African People.'' Trenton (New Jersey): Africa World Press</ref>.