Wawanji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wawanji''' ni [[kabilaKabila]] kutoka [[wilaya]] ya [[Makete]], katika milima [[Kipengere]] ya [[Mkoa wa Njombe]], sehemu ya kusini ya nchi [[Tanzania]].
 
Mwaka [[2003]] idadi ya Wawanji ilikadiriwa kuwa 28,000<ref>[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=wbi Vwanji. A language of Tanzania.]</ref>. [[Lugha]] yao ni [[Kiwanji]].