Meneja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Meneja''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "manager") ni mtendaji anayewajibika kusimamia mambo yote kuhusu mapato na matumizi katika [[kampuni]].
 
Kwa kawaida anakuwa ndiye [[mratibu]] na msimamizi wa shughuli zote katika kampuni chini ya [[uongozi]] wa juu.
 
{{mbegu-utamaduni}}
Mstari 7:
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Kazi]]