Tofauti kati ya marekesbisho "Wahutu"

5 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
d
Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
d (Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
'''Wahutu''' ni [[kabila]] kubwa la [[watu]] ambao wanaishiwanaoishi katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika]], hasa [[Rwanda]] na [[Burundi]], lakini pia [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Tanzania]], hasa baada ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]]. Jumla yao ni zaidi ya [[milioni]] 11.5.
 
[[Lugha]] yao ni kati ya [[lugha za Kibantu]] na imegawanyika katika [[lahaja]] [[mbili]], [[Kinyarwanda]] na [[Kirundi]].