Waikizu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Magdalena William |
||
Mstari 1:
'''Waikizu''' ni [[
Kabila hilo linapatikana hasa katika [[wilaya ya Bunda]], eneo maarufu linaloitwa [[Ikizu]].
Watu wa jamii hiyo hujihusisha na [[shughuli]] za [[
Waikizu ni watu jasiri sana na watu ambao wanajali sana mila zao na kulinda [[utamaduni]] wao dhidi ya mabadiliko mbalimbali yanayotokea katika mazingira. Moja ya sifa nyingine za Waikizu ni [[uvumilivu]].
|