Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Magdalena William
Mstari 1:
'''Waluguru''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] ambao wanaishiwanaoishi katika [[Mikoamikoa]] ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kiluguru]].
 
Kuna makundi makubwa mawili ya Waluguru. Makundi hayo ni Waluguru wanaoishi [[Milima|milimani]] na wale wanaoishi [[bonde|Mabondenimabondeni]].
 
Waluguru wa milimani wanapatikana katika maeneo ya [[Mgeta]], [[Kolero]], baadhi ya maeneo ya Matombo na [[Kiroka]], na pembezoni mwa Milima ya Uluguru hasa ile ya [[Tao la Mashakiri]].