Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Mstari 1:
'''Wasafwa''' ni [[Kabilakabila]] la [[Watuwatu]] kutoka eneo la [[Milimamilima]] ya [[mkoa wa Mbeya]], [[Kusinikusini]] mwa nchi ya [[Tanzania]].
Wako hasa katika [[Wilayawilaya]] za [[Mbeya mjini]], [[Mbeya vijijini]], [[Mbozi]] na [[Chunya (wilaya)|Chunya]]
 
Mwaka [[1987]] [[idadi]] ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=sbk].
Mstari 12:
[[Kiongozi]] wa Wasafwa huitwa ''mwene'' kwa lugha yao.
 
Mwene maarufu sana alikuwa Mwene Paul [[Mwashinga]] aliyekuwa [[Tajiritajiri]] na [[msomi]]; [[makao makuu]] yake yalikuwa [[Igawilo]], [[Mbeya mjini]]; naye aliaga [[dunia]] mwaka 1987; msiba wake ulihudhuriwa na watu mashuhuri sana.
 
Mwene mwingine ni Mwene Mwalyego wa [[Mbalizi Road|Mbalizi]].