Aristoteli : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit |
Tengua pitio 1009240 lililoandikwa na 196.249.98.132 (Majadiliano) |
||
Mstari 29:
Aristoteli alikusanya [[elimu]] ya wakati wake akajaribu kuipanga katika utaratibu.
Mwenyewe alifundishwa na Plato lakini alitofautiana na mwalimu wake katika mafundisho juu ya tabia za vitu vyenyewe. Plato aliona ya kwamba ujuzi wote tunaopata kupitia [[hisi|milango yetu ya utambuzi]] hukosa uhakika, si kamili; ujuzi wa
Katika "metafizikia" yake kuna pia dhana juu ya "mwanzilishi" au "mwenye mwendo wa kwanza". Aliona kwamba kila kitu kina mwendo kilichosababishwa na kitu kingine. Hivyo [[mantiki]] yake ilidai kuwepo kwa chanzo cha mwendo wote akakiita "
Kati ya dhana zake za kudumu iko nadharia juu ya [[michezo tanzia]] inayotajwa mara nyingi kuhusu maigizo, [[filamu]] na hata michezo ya [[kompyuta]] ya leo. Kufuatana na Aristoteli mchezo tanzia huamsha [[ono|maono]] ya watazamaji kama vile [[pendo]] au [[chuki]], [[hamu]] au [[hofu]], [[furaha]] au [[huzuni]] na [[hasira]]. Ilhali mtazamaji anaingizwa katika hisi hizi roho yake husafishwa wakati wa kutazama mchezo.
|