Mkoa wa Tabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 46:
 
Wenyeji wa Tabora ni hasa [[Wanyamwezi]]. Jumla ya wakazi ilikuwa watu 1,717,908 ([[2002]]). Walio wengi ni [[wakulima]] na [[wafugaji]].
[[File:Tabora-Region.svg|300px|Ramani ya Mkoa wa Tabora na wilaya zake 7.]]
 
[[Picha:Tabora_schrift.GIF|thumb|left|260px|Ramani ya Mkoa wa Tabora]]
Kulikuwa na [[wilaya]] 6 (idadi ya wakazi kwa mabano): [[Tabora Mjini]] (188,808), [[wilaya ya Nzega|Nzega]] (417,097), [[wilaya ya Igunga|Igunga]] (325,547), [[wilaya ya Uyui|Uyui]] (282,272), [[wilaya ya Urambo|Urambo]] (370,796), [[wilaya ya Sikonge|Sikonge]] (133,388). Jina la [[Urambo]] humkumbuka [[Mtemi Mirambo]] aliyekuwa [[mtawala]] muhimu wa Wanyamwezi kabla ya kuingia kwa [[ukoloni]].