Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 38:
 
== Wakazi na uchumi ==
Dar es Salaam inakadiriwa kuwa na wakazi wapatao milioni tatu. Ingawa [[Dodoma (mji)|Dodoma]] inafahamika kama ndio [[mji mkuu]] wa Tanzania, Dar es Salaam ndiko ziliko ofisi kuu za viongozi wa [[serikaliikulu]], [[balozi|mabalozi]], [[shirika|mashirika]] ya kimataifa, n.k.
 
[[Uwanja wa ndege]] mkuu wa Tanzania uko pia mjini hii ni [[Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere]].
 
[[Bandari]] ya Dar es Salaam katika [[bahari ya Hindi]], ndio bandari kubwa nchini Tanzania inayojihusisha na [[usafirishaji]] na [[uingizaji]] wa [[bidhaa]] mbalimbali za [[kilimo]], [[ufugaji]], [[ujenzi]], [[gari|magari]], [[dawa|madawa]], n.k.
 
Kiutawala, Dar es Salaam imegawanywa katika [[wilaya]] za [[Temeke]], [[Ilala]], [[Kinondoni]], [[Kigamboni]] na [[KinondoniUbungo]].
 
==Wakazi na uchumi==
Dare es salaam ni mji unaosemekana kuwa mkubwa kuliko yote kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ya viwanda;uwepo wa bahari;uwepo wa sehemu mbalimbali za kihistorian.k.