Mkoa wa Pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{For|mkoa ya Kenya|Mkoa wa Pwani (Kenya)}}
[[Picha:Tanzania Pwani location map.svg|thumb|right|175px|Mkoa wa Pwani katika Tanzania]]
'''Mkoa wa Pwani''' ni kati ya mikoa 26 za [[Tanzaniamikoa]]. Makao makuu31 ya mkoa ndipo [[KibahaTanzania]]. Mkoa umepakana upande wa [[Kaskazini]] na [[Mkoa wa Tanga|Tanga]], upande wa [[mashariki]] na [[Dar-es-Salaam]] na [[Bahari Hindi]], upande wa [[kusini]] na [[mkoa wa Lindi]] na upande wa [[magharibi]] na [[mkoa wa Morogoro]].
 
[[Makao makuu]] ya mkoa yako [[Kibaha]].
 
==Eneo==
Mkoa huu unalo eneo la km² 32,407 km², ukiwa na idadi ya watu wapatao 8891,154098,668 ([[2012]]), ukiwa ni mkoa wa pili nyuma ya mkoa wa Lindi kwa idadi ndogo ya watu katika Tanzania bara.
 
== Wilaya ==
Line 16 ⟶ 18:
* [[Wilaya ya Mafia|Mafia]] (40,801).
* [[Wilaya ya Rufiji|Rufiji]] (103,174) <ref>[http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016], tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017</ref>
* [[Wilaya ya Kibiti|Kibiti]] (133,727)<ref>Namba linganisha Makidirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uhaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016</ref>.
 
Mkoa huu una jumla ya majimbo ya uchaguzi yanayofikia (9) ambayo yanajumuisha Bagamoyo, Chalinze, Kibaha, Kibaha Vijijini, Kibiti, Kisarawe, Mafia, Mkuranga na Rufiji <ref>Kuhusu majimbo linganisha MakidirioMakadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uhaguziuchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016</ref>
 
==Wakazi==
Mkoa huu wenyeji wake ni [[watu]] wa [[Kabila|makabila]] ya [[Wakwere]], [[Wazaramo]], [[Wandengereko]] na [[Wanyagatwa]].
Idadi ya wakazi wa mkoa wa Pwani ni 889,154. (sensa 2002 [http://web.archive.org/web/20031215152753/http://www.tanzania.go.tz/census/census/pwani.htm])
 
Mkoa huu ambao wenyeji wake ni watu wa makabilaWilaya ya Wakwere,wazaramo,wandengereko na wanyagatwa.wilaya ya rufijiRufiji imegawanyika sehemu mbili, visiwani na bara.: wenyeji wa visiwani ni wa kabila la wanyagatwaWanyagatwa na walio bara ndiyondio wandengereko,Wandengereko. wenyejiWenyeji wa visiwani wanajishulishawanajishughulisha sana na [[uvuvi]], [[kilimo]] cha [[mnazi]] na kupika [[chumvi]],wandengereko Wandengereko wanajishughulisha sana na [[mazao]] ya [[vyakula]] kama vile [[mpunga]], [[mahindi]] n.k. lakini pia mkoa huu ni maarufu sana kwa shughuli za kiutalii hususani katika mji wa Bagamoyo.
 
==Utalii==
Mkoa huu ni maarufu sana kwa shughuli za kiutalii hususani katika mji wa Bagamoyo.
 
==Majimbo ya bunge==
Line 32 ⟶ 38:
* Kisarawe : mbunge ni [[Selemani Said Jafo]] ([[CCM]])
* Mafia : mbunge ni [[Mbaraka Kitwana Dau]] ([[CCM]])
* Mkuranga : mbunge ni [[Abdallah Hamis Ulega]] (C[[CCM]])
* Kibiti : mbunge ni [[Ally Seif Ungando]] ([[CCM]])
* Rufiji : mbunge ni [[Mohamed Omary Mchengerwa]] ([[CCM]])
 
 
==Tanbihi==
Line 44 ⟶ 49:
* {{en}} [http://web.archive.org/web/20031215152753/http://www.tanzania.go.tz/census/census/pwani.htm Matokeo ya sensa 2002 kwa ajili ya mkoa wa Pwani]
* [http://www.uchaguzitanzania.com/new/categories/Ijue-Mikoa-ya-Tanzania/Pwani Habari za Pwani kwenye kurasa za Tume ya Uchagizi]
{{Mikoa ya Tanzania}}
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|P]]
[[Jamii:Mkoa wa Pwani| ]]
{{Mikoa ya Tanzania}}