Mkoa wa Geita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Mkoa wa Geita''' ni kati ya mikoa 3031 ya [[Tanzania]]. Umepakana na [[Mkoa wa Kagera|Kagera]] upande wa magharibi, [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]] upande wa kusini na [[Mkoa wa Mwanza|Mwanza]] upande wa mashariki. [[Ziwa la Viktoria Nyanza]] liko kaskazini.
 
[[Makao makuu]] ya mkoa yapo [[Geita]] mjini.
Kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Geita, ulikuwa sehemu ya mkoa wa Mwanza ambao ulikuwa na wakazi 2,942,148 ([[sensa]] ya mwaka [[2002]]) katika wilaya 8 ukiwa na eneo la 19,592 km<sup>2</sup>.
 
== Wilaya ==
 
Wilaya za [[mkoa]] huo mpya ndizo [[wilaya ya Bukombe|Bukombe]], [[wilaya ya Chato|Chato]], [[wilaya ya Geita|Geita]], [[wilaya ya Mbongwe|Mbongwe]] na [[wilaya ya Nyang'hwale|Nyang'hwale]].
 
== Wakazi ==
Ma[[kabila]] makubwa katika mkoa ndio [[Wasukuma]], [[Wasumbwa]], [[Walongo]] na [[Wazinza]].
 
==Majimbo ya bunge==