Mkoa wa Katavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 43:
| footnotes =
}}
'''Mkoa wa Katavi''' ni mmojammojawapo kati ya mikoa 3031 ya [[Tanzania]]. Ulianzishwa rasmi mnamo Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Rukwa]].
 
[[Makao makuu]] yako [[Mpanda (mji)|Mpanda]].
Mstari 52:
== Wakazi ==
Katika sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi ilihesabiwa kuwa 564,604. <ref><nowiki>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi]</nowiki></ref>
 
[[Kabila]] kubwa ni lile la [[Wafipa]]pia kuna Wabende,Wapimbwe na Wakonongo na [[dini]] yao kwa kiasi kikubwa sana ni [[Ukristo]] wa [[madhehebu]] ya [[Kanisa Katoliki]].
 
==Utamaduni==
[[Kabila]] kubwa ni lile la [[Wafipa]]; pia kuna [[Wabende]], [[Wapimbwe]] na [[Wakonongo]] na [[dini]] yao kwa kiasi kikubwa sana ni [[Ukristo]] wa [[madhehebu]] ya [[Kanisa Katoliki]].

Ni kweli Wafipa ni kabila kubwa lakini kuna jamii ya kabila la Wapimbwe ambalo linapatikana katika maeneo ya Tarafa ya [[Mpimbwe]] ambalo kwa kiasi kikubwa ndio hasa wenyeji wa mkoa huu mpya wa Katavi ambalo kwa asili linapatikana katika vijiji vya Mamba, Mpimbwe na Majimoto. Kama utafuatilia vizuri katika kijiji cha Mamba kuna kivutio kizuri: ambapobwawa kubwa bwawa la asili la [[maji ya moto]] naambayo hayapoi muda wote, ni ya moto iwe [[mchana]] au [[usiku]].
 
Kabila lingine ni Wakonongo ambao nao wanatokea mkoa huu mpya.
 
Pia kuna sehemu za mkoa huu ni wa kihistoria katika baadhi ya maaneo. Mfano mtaa wa Madukani ambao walikua wakiishi [[Wahindi]] na [[Waarabu]] wa [[Oman]] kama Mzee Yusuf Al Salmi.
 
==Majimbo ya bunge==
Mstari 73:
<references/>
 
*[https://web.facebook.com/kuelekeamajimboni2015/posts/1597894500453161?_rdc=1&_rdr Taarifa juu ya majimbo ya Katavi kabla ya uchaguzi mkuu 2015] (tovuti ya facebook)
 
*[http://www.tcra.go.tz/publications/postcode/katavi.pdf Katavi Postcodes]
 
== Viungo vya nje ==