Mkoa wa Lindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Lindi''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] ulioko Kusini-Mashariki mwa [[Tanzania]].
 
'''Mkoa wa Lindi''' umepakanani kati ya [[mikoa]] 31 ya nchi hiyo. Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]] na [[Morogoro]]. Upande wa mashariki hupakana na [[Bahari Hindi]].
==Eneo la mkoa==
Mstari 46:
 
==Elimu==
Mkoa wa lindiLindi huko nyuma [[Elimu|kielimu]] kwani [[shule za sekondari]] mpaka sasa si nyingi sana na shule hizo hazina [[walimu]] wa kutosha kutokana na [[miundombinu]] ya barabara na shule zenye kidato cha tano na cha sita mpaka sasa ni Lindi sekondari - Lindi, Mahiwa na Namupa [[seminari]] - Lindi vijijini. Pia kuna [[chuo cha ualimu]] Nachingwea katika wilaya ya Nachingwea.
 
==Majimbo ya bunge==