Mkoa wa Manyara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Majimbo ya bunge: wabunge 2015 |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Manyara location map.svg|right|thumbnail|260px|Mkoa wa Manyara katika Tanzania]]
[[Picha:TZ Manyara wilaya.gif|thumb|260px|Wilaya za Mkoa wa Manyara]]
'''Mkoa wa Manyara''' ni kati ya [[mikoa]]
[[Babati]] ndiyo [[makao makuu]] ya [[mkoa]].
== Wakazi ==
Jumla ya wakazi mkoani ilikuwa 1,425,131 katika [http://web.archive.org/web/20031215151421/http://www.tanzania.go.tz/census/census/manyara.htm [[sensa]] ya mwaka 2012.]
Idadi hiyo imepatikana katika [[wilaya]] zifuatazo (idadi ya wakazi katika mabano mwaka 2002): Babati (303,013), Hanang (205,133), Mbulu (237,882), Simanjiro (141,676) na Kiteto (152,757).
Sensa zinaonyesha
Wenyeji wa mkoa huu ni pamoja na [[Wairaqw]], [[Wamasai]], [[Wasonjo]], [[Wafyomi]] na [[Wabarbaig]] wakijihusisha na [[shughuli]] za [[kilimo]] na [[ufugaji]] kama njia ya kuingiza kipato chao cha kila siku.
== Wilaya ==
Kuna wilaya zifuatazo: [[Wilaya ya Mbulu|Mbulu]], [[Wilaya ya Babati Vijijini|Babati]], [[Babati Mjini]], [[Wilaya ya Hanang|Hanang]], [[Wilaya ya Simanjiro|Simanjiro]] and [[Wilaya ya Kiteto|Kiteto]].
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa [[uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015]] mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi 7 yafuatayo:
* Babati Mjini : mbunge ni [[Pauline Gekuli]] ([[Chadema]])
* Babati Vijijini : mbunge ni [[Jitu Vrajilal Soni]] ([[CCM]])
|