Mkoa wa Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Mkoa wa [[Mbeya (mji)|Mbeya]]''' ni kati ya [[Mikoa|mikoa]] 31 ya [[Tanzania]] ikipakanaukipakana na [[Zambia]] na [[Malawi]], halafu na mikoa ya [[Mkoa wa Rukwa|Rukwa]], [[Mkoa wa Tabora|Tabora]], [[Mkoa wa Singida|Singida]] na [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], mbali na [[mkoa wa Songwe|mkoa mpya wa Songwe]] uliomegwa kutoka ule wa Mbeya upande wa magharibi mwaka [[2016]].
 
Kabla ya kugawiwa kulikuwa na wilaya 10 zifuatazo: [[Mbeya Mjini]], [[Mbeya Vijijini]], [[Rungwe]], [[Kyela]], [[Ileje]], [[Mbozi]], [[Chunya (wilaya)|Chunya]], [[wilaya ya Momba|Momba]] na [[Mbarali]].
Mstari 46:
 
==Jiografia==
Mbeya ni kati ya maeneo yanayopendeza kabisa ndani ya Tanzania ikiwa na sehemu za [[Ziwa la Nyasa]], [[Ziwa Rukwa]], M[[milima ya Mbeya|limaMlima ya Mbeya]], M[[Rungwe (mlima)|limaMlima ya Rungwe]], Uwanda wa juu wa [[Uporoto]], Uwanda wa Usangu ingawa haukufikiwa bado na [[utalii]].
 
Wilaya ya [[Rungwe (wilaya)|Rungwe]] ni eneo lenye [[mvua]] nyingi katika [[Tanzania]]. Mkoa wa ujumla ni mojawapo kati ya mikoa yenye kilimo kizuri inayotoa mazao ya kulisha taifa. Lakini maeneo makubwa ya Wilaya ya Chunya ni makavu.
 
Wilaya ya [[Chunya (wilaya)|Chunya]] ina madini mbalimbali hasa dhahabu. Wenyeji wa wilaya ya Chunya ni [[Wabungu]] na waishio huko zaidi ni [[Wanyiha]].
Mstari 54:
Mbeya na Mbozi kahawa hupandwa. Rungwe pana chai nyingi, pamoja na Rungwe na Chimala hulimwa mpunga. Nyanda za juu kuna nafaka na viazi.
 
[[Jiolojia|Kijiolojia]] mkoa wa Mbeya ni eneo la kukutana kwa mikono miwili ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] inayoendelaea hapa katika ziwa Nyasa.
 
== Maziwa na mito ==
Mkoa wa Mbeya inapakana na [[ziwa|maziwa]] mawili makubwa ndiyo [[Ziwa Nyasa]] na [[Ziwa Rukwa]]. Hasa milima yenye asili ya [[volkeno]] ya wilaya ya Rungwe inyajaa maziwa ya [[kasoko]].
 
Mito mikubwa ni [[Songwe (mto)|Songwe]] na [[Kiwira (mto)|Kiwira]]. [[Chanzo ya(mto)|Chanzo]] cha [[mto Ruvuma]] ikokiko pia Mbeya katika tambarare ya [[Usangu]].
 
==Majimbo ya bunge==