Mkoa wa Morogoro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Morogoro''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]].
 
'''Mkoa wa Morogoro''' ni kati ya [[mikoa]] 3031 ya Tanzania. Umepakana na mikoa ya [[Mkoa wa Tanga|Tanga]], [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], [[Mkoa wa Lindi|Lindi]], [[Mkoa wa Ruvuma|Ruvuma]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]].

Eneo lake ni [[km²]] 72 939 km², ambapo kuna wakazi 2,218,492 (mwaka [[2012]]). Hivyo Morogoro ni kati ya [[mikoa ya Tanzania|mikoa mikubwa zaidi ya Tanzania]].
 
===Utawala===
Mkoa unaulikuwa na [[wilaya]] [[sita]] ambazo ndizo (idadi ya wakazi kwa mabano):
[[Wilaya ya Kilosa|Kilosa]] ( 489,513), [[Wilaya ya Kilombero|Kilombero]] (322,779), [[Morogoro Vijijini]] (263,920), [[Morogoro Mjini]] (228,863), [[Mvomero (wilaya)|Mvomero]] (260,525), [[Ulanga]] (194,209). Mwaka [[2012]] imeongezwa wilaya mpya ya [[wilaya ya Gairo|Gairo]].
 
Wakazi walio wengi hukalia wilaya za [[kaskazini]]. [[Robo]] yao huishi katika miji ya mkoa.
 
{{Wilaya za Mkoa wa Morogoro}}
Line 61 ⟶ 63:
 
===Wakazi===
[[Kabila]] kubwa ni la [[Waluguru]] waliotoa jina kwa mji wa Morogoro pamoja na [[milima ya Uluguru]].
 
Makabila mengine makubwa zaidi ni [[Wangulu]], [[Wakagulu]], [[Wasagala]], [[Wapogolo]], [[Wandamba]], [[Wabena]], [[Wambungu]], [[Wakutu]] na [[Wavidunda]].
 
Upande wa [[dini]], karibu [[nusu]] ni [[Waislamu]] na nusu ni [[Wakristo]].
 
===Mawasiliano===