Mkoa wa Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Mtwara location map.svg|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania]]
 
'''Mtwara''' ni [[jina]] la [[mji]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]].
 
'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 2631 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la [[kusini]]-[[mashariki]] kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa [[kaskazini]], [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa Magharibi[[magharibi]]. Mpaka wa kusini ni [[Mto Ruvuma]].
 
Ukiwa na [[km²]] 16,720 km² Mtwara ni mkoa mdogo katika Tanzania pamoja na [[Kilimanjaro]].
 
==Wakazi==
Jumla kuna wakazi 1,270,854 waishio humo ([[sensa]] ya [[mwaka]] [[2012]])<ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, uk. 87, Table 9.0: Population of Mtwara Region]</ref> waishio humo.
 
[[Wanawake]] wanazidi wakiwa [[asilimia]] 53 ya wakazi wote kwa sababu [[wanaume]] wengi hutoka nje kutafuta [[kazi]].
 
Kati ya [[Kabila|makabila]] ya Mtwara ndio [[Wamakonde]] wanaojulikana zaidi kutokana na [[sanaa]] yao ya [[uchongaji]] wa [[ubao]], hasa [[mpingo]].
 
==Utawala==
Kuna [[wilaya]] 5: [[Mtwara Mjini]] (pia huitwa "Mikindani"), [[Mtwara Vijijini]], [[Masasi]], [[wilaya ya Nanyumbu|Nanyumbu]], [[Newala]] na [[Tandahimba]]. Ndani yaoyake ndipokuna [[tarafa]] 21, [[kata]] 98 na [[Kijiji|vijiji]] 554.
 
==Uchumi==
Mtwara iko kati ya mikoa iliyobaki nyuma miaka mingi kutokana na ugumu wa [[mawasiliano]] na [[barabara]] isiyopitika kwa sehemu kubwa ya kila mwaka.
 
[[Historia]] ya Mtwara inakuja sambamba na kumbukumbu la jaribio la [[Waingereza]] la kuanzisha mradi mkubwa wa [[maendeleo]] katika eneo hili ulioshindikana kabisa. Kuanzia 1947 serikali ya kikoloni ilijenga bandari ya Mtwara pamoja na reli. Vilevile [[Mtwara mjini]] ilipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha kilimo cha mashamba makubwa kwa ajili ya karanga hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya mafuta ya kupikia. Mradi huu ulishindikana kabisa, pesa nyingi ilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata uhuru. Reli iliondolewa tena 1963.
 
Kuanzia mwaka [[1947]] [[serikali]] ya kikoloni ilijenga [[bandari]] ya Mtwara pamoja na [[reli]]. Vilevile [[Mtwara mjini]] ilipangwa vizuri na kubwa. Sababu yake ilikuwa mpango wa kuanzisha [[kilimo]] cha [[Shamba|mashamba]] makubwa kwa ajili ya [[karanga]] hasa zilizohitajika kwa ajili ya mahitaji ya Waingereza ya [[mafuta]] ya kupikia.
Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea meli kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya ubaguzi wa rangi katika Afrika Kusini mipango mbalimbali imetungwa kutengeneza njia ya kupeleka bishaa kutoka bandari ya Mtwara kwenda [[Songea]] na kutoka huko [[Malawi]] kwa kuvuka [[Ziwa la Nyasa]].
 
Mradi huo ulishindikana kabisa, [[pesa]] nyingi zilipotea hadi mradi ulifutwa kabla ya Tanzania kupata [[uhuru]]. Reli iliondolewa tena mwaka [[1963]].
Baada ya kujengwa kwa daraja mtoni Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[Daressalaam]]. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.
 
Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBA na masasi ndio wamekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho.Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo(msimu wa 2008/2009)kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sinto fahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.
Bandari imebaki ambayo haijaona kazi nyingi lakini bado ina faida ya kuwa na nafasi nzuri sana ya kupokea [[meli]] kubwa. Wakati wa mapambano dhidi ya serikali ya [[ubaguzi wa rangi]] katika [[Afrika Kusini]] mipango mbalimbali imetungwailitungwa kutengeneza njia ya kupeleka bishaa[[bidhaa]] kutoka bandari ya Mtwara kwenda [[Songea]] na kutoka huko [[Malawi]] kwa kuvuka [[Ziwa la Nyasa]].
 
Baada ya kujengwa kwa [[daraja]] mtonijuu ya [[mto Rufiji]] mwaka [[2002]] kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[DaressalaamDar es Salaam]]. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.
 
Eneo la [[Mnazi Bay]] ina [[gesi]] inayoweza kutumika kwa mahitaji ya [[nishati]] ya eneo lote.
 
Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa Mtwara ni [[kilimo]], hasa ikitegemea [[zao]] la [[korosho]] kwa [[wakulima]] wa wilaya zote za mkoa.
 
Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwaKwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBATandahimba na masasiMasasi ndiondizo wamekuwazimekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho. Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo (msimu wa 2008/2009) kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sintokusababisha fahamusintofahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.
 
==Majimbo ya bunge==
Line 39 ⟶ 48:
* Masasi :
* Lulindi :
 
 
==Marejeo==
Line 48 ⟶ 56:
* [http://web.archive.org/web/20031215152319/http://www.tanzania.go.tz/census/census/mtwara.htm Mtwara Region Homepage for the 2002 Tanzania National Census]
* [https://archive.is/20120530155615/www.tanzania.go.tz/govdirf.html Tanzanian Government Directory Database]
{{Mikoa ya Tanzania}}
 
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|M]]
[[Jamii:Mkoa wa Mtwara| ]]
{{Mikoa ya Tanzania}}