Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 39:
}}
 
'''Mkoa wa Ruvuma''' ni kati ya [[mikoa]] 3031 ya [[Tanzania]].
 
Umepewa [[jina]] kutokana na [[mto Ruvuma]] ambao ni mpaka wake wa [[kusini]] na [[Msumbiji]]. Umepakana na [[Ziwa la Nyasa]] na [[Mkoa wa Morogoro]] upande wa [[magharibi]], mikoa ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] upande wa [[kaskazini]] na [[Mkoa wa Mtwara]] upande wa Mashariki[[mashariki]].
 
[[Makao makuu]] ya mkoa yako Songea mjini.
=== Wilaya ===
 
Ndani ya mkoa huu kuna wilaya sita ambazo ni pamoja na (idadi ya wakazi katika mabano):
=== Wilaya ===
Ndani ya mkoa huu kuna [[wilaya]] [[sita]] ambazo ni pamoja na ([[idadi]] ya wakazi katika mabano):
*[[wilaya ya Nyasa|Nyasa]] (146,160; tangu [[2012]])
*[[Songea Mjini]] (203,309),
Line 52 ⟶ 54:
*[[wilaya ya Namtumbo|Namtumbo]] (201,639).
 
=== Wakazi ===
Makao makuu ya mkoa ndipo Songea. Jumla ya wakazi wote katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,376,891 ([[sensa]] ya mwaka 2012).
 
[[Kabila|Makabila]] makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]], [[Wabena]] na [[Wandengereko]].
 
Karibu na Songea iko [[monasteri]] kubwa ya [[Peramiho]] ya [[watawa]] [[Wabenedikto]] na nyingine iko [[Hanga]].
 
===Elimu===
[[Elimu]] bado inahitajika, hasa kwa maeneo ya [[Kijiji|vijijini]], maana watu wengi katika mkoa huu hawajaelimika hivyo hutuleteahuleta [[changamoto]] katika [[maendeleo]] maana [[taifa]] huhitaji watu ambao ni wasomi.
 
===Miundombinu===
Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna [[barabara]] ya [[lami]] kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. Barabara kuu kwenda [[Lindi]] iko katika hali mbaya.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa [[uchaguzi mkuu]] wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Songea Mjini : mbunge ni [[Leonidas Tutubert Gama]] ([[CCM]])
* Nyasa : mbunge ni [[Stella Manyanya]] ([[CCM]])
Line 65 ⟶ 78:
* Mbinga Mjini : mbunge ni [[Sixtus Mapunda]] ([[CCM]])
* Mbinga Vijijini : mbunge ni [[Martin Msuha]] ([[CCM]])
 
=== Wakazi ===
Makabila makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]], [[Wabena]] na [[Wandengereko]].
 
Karibu na Songea iko [[monasteri]] kubwa ya [[Peramiho]] ya watawa [[Wabenedikto]] na nyingine iko [[Hanga]].
 
===Elimu===
[[Elimu]] bado inahitajika, hasa kwa maeneo ya vijijini, maana watu wengi katika mkoa huu hawajaelimika hivyo hutuletea [[changamoto]] katika [[maendeleo]] maana [[taifa]] huhitaji watu ambao ni wasomi.
 
===Miundombinu===
Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna barabara ya lami kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. Barabara kuu kwenda [[Lindi]] iko katika hali mbaya.
 
 
== Viungo vya nje ==