Mkoa wa Singida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Singida location map.svg|220px|thumbnail|Mahali pa Mkoa wa Singida katika Tanzania.]]
 
'''Mkoa wa Singida''' ikoni kati ya [[mikoa]] 2631 zaya [[Tanzania]] ikipakanaukipakana na mikoa ya [[Mkoa wa Arusha|Arusha]], [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Mbeya|Mbeya]], [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] na [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]].
 
Kuna [[wilaya]] [[sita]] za [[Iramba]], [[wilaya ya Manyoni|Manyoni]], [[Singida Vijijini]] na [[Singida Mjini]], [[wilaya ya Ikungi|Ikungi]] na [[wilaya ya Mkalama|Mkalama]]. Wakati wa [[sensa]] ya [[mwaka]] 2012 jumla ya wakazi ilikuwa 1,370,637 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Singida]</ref>.
 
Singida ni kati ya maeneo maskini zaidi ya Tanzania. Uchumi wake ni hasa [[ufugaji]]: idadi ya ng´ombe hukadiriwa kuwa takribani milioni 1.4. Masoko hayako karibu na barabara si nzuri. Kilimo si kizuri kwa sababu ya hali ya mvua. Ukame huleta njaa. Singida ni kati ya mikoa inayotegemea misaada ya chakula.
 
Wakazi wa wilaya za Singida mjini na kijijini ni hasa [[Wanyaturu]]. Walio wengi [[Iramba]] ndio [[Wanyiramba]] na wakiwa [[Wagogo]] wengi huko [[Manyoni]].
 
==Uchumi==
Pamoja na kuwa mkoa wa Singida umekuwa ukikumbwa na njaa kwa sababu ya ukame na hata pale mvua inaponyesha ni duni sana ina shughuli mbalimbali ambazo zinaingiza kipato kwa watu wa mkoa huo.IKiwa kuanzia miaka ya tisini (1990) na kuendelea mpaka sasa imekuwa madini ya [[dhahabu]] yakigunduliwa katika sehemu mbalimbali mkoani Singida japo kumekuwa aidha hakufanyiwi uchungizi wa kina kuhakiki kiwango cha hifadhi ya madini iliyopo katika eneo husika au huwa kiwako kilichopo ni kidogo hivyo kutokuvutia wawekezaji wakubwa katika maeneo hayo, kati ya madini ambayo yamewahi kugunduliwa katika mkoa wa Singida ni dhahabu ambayo imewahi kugunduliwa huko Londoni na Iruma wilayani Manyoni.
Singida ni kati ya maeneo [[maskini]] zaidi ya Tanzania. [[Uchumi]] wake ni hasa [[ufugaji]]: [[idadi]] ya [[ng´'ombe]] hukadiriwa kuwa takribani [[milioni]] 1.4. [[Soko|Masoko]] hayako karibu na [[barabara]] si nzuri. Kilimo si kizuri kwa sababu ya hali ya mvua. Ukame huleta njaa. Singida ni kati ya mikoa inayotegemea misaada ya chakula.
 
[[Kilimo]] si kizuri kwa sababu ya hali ya [[mvua]]. [[Ukame]] huleta [[njaa]]. Singida ni kati ya mikoa inayotegemea misaada ya [[chakula]].
 
Pamoja na kuwa mkoa wa Singida umekuwa ukikumbwa na njaa kwa sababu ya ukame, na hata pale mvua inaponyesha ni duni sana, una shughuli mbalimbali ambazo zinaingiza kipato kwa watu wa mkoa huo.
 
Pamoja na kuwa mkoa wa Singida umekuwa ukikumbwa na njaa kwa sababu ya ukame na hata pale mvua inaponyesha ni duni sana ina shughuli mbalimbali ambazo zinaingiza kipato kwa watu wa mkoa huo.IKiwaIkiwa kuanzia [[miaka ya tisini (1990)]] na kuendelea mpaka sasa imekuwa [[madini]] ya [[dhahabu]] yakigunduliwa katika sehemu mbalimbali mkoani Singida japo kumekuwa aidha hakufanyiwi uchungizi[[uchunguzi]] wa kina kuhakiki kiwango cha hifadhi ya madini iliyopo katika eneo husika au huwa kiwako kilichopo ni kidogo, hivyo kutokuvutia wawekezaji wakubwa katika maeneo hayo,. katiKati ya madini ambayo yamewahi kugunduliwa katika mkoa wa Singida ni dhahabu ambayo imewahi kugunduliwa huko [[Londoni]] na [[Iruma]] wilayani Manyoni.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa [[uchaguzi mkuu]] wa Tanzania mwaka [[2015]] mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
 
* Singida Mjini : mbunge ni [[Mussa Sima]] ([[CCM]])
Line 23 ⟶ 28:
* Singida Magharibi : mbunge ni [[Elibariki Emmanuel Kingu]] ([[CCM]])
 
==Tanbihi==
 
{{marejeo}}
{{Mikoa ya Tanzania}}