Mkoa wa Tabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 41:
'''Tabora''' ni [[jina]] la [[mji]], [[wilaya]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]] ya kati.
 
'''Mkoa wa Tabora''' ikoni kati ya [[Mikoa ya Tanzania|mikoa 3031 ya Tanzania]]. [[Makao makuu]] yako [[Tabora (mji)|Tabora Mjini]].
 
[[Makao makuu]] yako [[Tabora (mji)|Tabora Mjini]].
Eneo la mkoa ni km<sup>2</sup> 76,151; mnamo km<sup>2</sup> 34,698 (46%) ni [[hifadhi ya misitu]], km<sup>2</sup> 17,122 (22%) ni [[hifadhi ya wanyama]].
 
Eneo la mkoa ni [[Km²|km<sup>2</sup>]] 76,151; mnamo km<sup>2</sup> 34,698 (46[[%]]) ni [[hifadhi ya misitu]], km<sup>2</sup> 17,122 (22%) ni [[hifadhi ya wanyama]].
 
Wenyeji wa Tabora ni hasa [[Wanyamwezi]]. Jumla ya wakazi ilikuwa watu 1,717,908 ([[2002]]). Walio wengi ni [[wakulima]] na [[wafugaji]].