Ruaha Mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dry Great Ruaha River and.jpg|thumb||Ruaha Mkuu jinsi ilivyokauka mwaka [[2006]] kwenye eneo la [[Hifadhi ya TaifaRuaha|Hifadhi ya taifa ya Ruaha]].]]
'''Ruaha Mkuu''' (pia: '''Ruaha Mkubwa''') ni [[mto]] muhimu nchini [[Tanzania]] na [[tawimto]] wa [[Rufiji (mto)|Rufiji]]. Huitwa "Ruaha Mkuu" kwa kuutofautisha na "Ruaha Mdogo" unaoishia ndani yake, si mbali na [[Iringa Mjini]]. [[Jina]] Ruaha kwa [[Kihehe]] linamaanisha "maji mengi".
 
==Chanzo na mwendo wa mto==
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] chake ni mito mingi midogo inayotelemka [[milima]] ya [[nyanda za juu]] za [[kusini]] mwa Tanzania, hasa [[safu za milima]] ya [[Uporoto]] na ya [[Kipengere]]. Mito hii inakusanya [[maji]] yake kwenye [[tambarare]] ya [[Usangu]] na ndipo Ruaha inapoanza. Mito mikubwa zaidi inayoungana hapa na kuunda Ruaha ni pamoja na [[mto Mbarali]], [[mto Kimani]] na [[mto Chimala]].
 
Karibu na [[Ng’iriama]] mto unatoka katika Usangu na kuingia [[Hifadhi ya Ruaha|hifadhi ya kitaifa ya Ruaha]]. Inaendelea kupokea Ruaha Mdogo na [[mto Kisigo]] kabla ya kuingia katika [[ziwa]] la [[lambo la Mtera]], halafu inaendelea hadi ziwa la [[lambo]] la [[Kidatu]].
Mstari 10:
 
==Matatizo ya ekolojia ya mto==
Maji ya Ruaha Mkuu ni muhimu kwa [[ekolojia]] ya [[beseni]] yakelake pamoja na [[watu]] wote wanaoishi huko. Lakini matumizi ya [[binadamu]] yameleta mvurugo kwa ekolojia ya mto na tangu mwaka [[1993]] mto umeanza kukauka wakati wa [[ukame]]. Uhaba wa maji umesababishwa na matumizi mabaya ya maji upande wa miradi mikubwa ya [[mpunga]] katika Usangu.
 
==Viungo vya nje==
*Ecohydrology of Great Ruaha River: [www.iwmi.cgiar.org/Africa/files/RIPARWIN/05/_downloads/Fact-Factsheet_EcoHyd_GRR.doc] Ecohydrology of Great Ruaha River
 
{{Mito ya Tanzania}}