Blandina Changula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.62.48 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Baba Tabita
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na 'Napenda Nionane Nahuyo Dada Blandina Nitafanyadje?'
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
Napenda Nionane Nahuyo Dada Blandina Nitafanyadje?
{{Msanii muziki
| rangi = Khaki
| jina = Blandina Changula
| picha = Filamu ya Mkasa.jpg
| maelezo_ya_picha = Johari Katika [[Filamu]] ya Mkasa
| jina la kiraia = Blandina Changula
| jina la kisanii = [[Johari]]
| alizaliwa = [[27 Julai]] [[1983]]
| alikufa =
| nchi = [[Tanzania]]
| aina ya muziki =
| kazi yake = [[Muigizaji]]
| miaka ya kazi = mn. [[2002]] hadi [[2007]]
| ameshirikiana na = [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi]],[[Mwanaidi Suka]], [[Donah Redson]] nk.
| ala =
| kampuni = Game First Quality
}}
 
'''Blandina Changula''' (amezaliwa tar. [[27 Julai]] [[1983]] [[Mkoa wa Shinyanga|mkoani Shinyanga]], [[Tanzania]] ni muigizaji wa vipindi vya telesheni na [[filamu]] nchini [[Tanzania]].
 
==Maisha ya Mwanzo==
Blandina alipata [[elimu]] ya msingi katika shule ya [[Bugoyi]] [[mwaka]] [[1990]] hadi [[1997]] na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya [[Buluba]] iliyopo [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1998]] hadi [[1999]].
 
Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika [[shule]] ya bweni ya [[Kanawa]] hukohuko mkoani [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1999]] hadi [[2000]] na [[mwaka]] huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini [[Dar es Salaam]] katika [[shule]] ya Greens iliyokuwa maeneo ya [[Temeke]] kabla ya kuhamishiwa [[Ubungo]] shule ambayo alimalizia kidato cha nne hiyo ilikuwa mnamo [[mwaka]] [[2001]].
 
Blandina Changula anatokea kundi la [[Kaole Sanaa Group]], ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa uigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota
hao, wengine ni [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi]] (Mr Ray), Tea na wengine wengi tu kutoka [[Kaole Sanaa Group]].
kwa hivi sasa Blandina Chagula kwa kushirikiana na msanii mwenzake Vincent Kigosi wana kampuni yao pamoja iitwayo RJ Company (Ray & Johari coumpany ) ambayo inafanya kazi ya kuzalisha filamu mbalimbali kama vile Bed Rest, Bad Luck , Wrong hope , Peace of mind , Fair Decision nk.
== Baadhi ya Filamu Alizoigiza ==
* Sikitiko Langu
* [[Johari|Johari 1 na 2]]
* Dangerous Desire
* Dar 2 Lagos
 
== Anaoshirikiana Nao ==
* [[Steven Kanumba]]
* [[Vincent Kigosi]]
* [[Muhsein Awadh]]
* [[Ally Chaowa]]
* [[Kulwa Kikumba]]
* [[Mwanaidi Suka]]
* [[Nuru Nassoro]]
* [[Ndumbagwe Misayo]]
* [[Donah Redson]]
* [[Fatuma Makongoro]]
* [[Emmanuel Myamba]]
* [[Charles Magari]]
* [[Fatuma Mvura]]
* [[Mohamed Mwikongi]]
* [[Fadhili Omar]]
 
===Wanigeria===
* [[Mercy Johson]]
* [[Nkilu Sylvanus]]
* [[Nancy Okeke]]
* [[Bimbo Ankintola]]
 
{{Mbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Changula, Blandina}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1983]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Tanzania]]
[[Jamii:Filamu za Tanzania]]
[[Jamii:Waongozaji wa Filamu za Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]