Maporomoko ya maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Victoria Falls (2541711854).jpg|200px|thumbnail|<small>[[Maporomoko ya Viktoria]] mpakani wa Zambia na Zimbabwe ni kati ya maporomoko mazuri na mashuhuri zaidi duniani</small>]]
[[Picha:Niagara falls aerial.id.jpg|200px|thumbnail|<small>[[Maporomoko ya Niagara]] huko Marekani</small>]]
'''Maporomoko ya maji''' ni mahali ambako [[maji ya]] yanatelemka juu ya kona kwenye mtelemko na kuelekea chini. Kwa kawaida ni sehemu ya njia ya [[mto]] au kijito pale ambako maji yanatelemka juu ya ukingo wa [[mwamba]]. Lakini inaweza kutokea pia kwenye ukingo wa [[barafuto]] pale ambako maji ya myeyuko yanatelemka.
 
== Kutokea na kubadilika kwa maporomoko ya maji ==
Mstari 14:
Baada ya muda wa kutosha (wakati mwingine miaka mamillioni) nguvu ya maji umeondoa mwamba wa kutosha hali hakuna maporomoko tena na ngazi katika njia imekuwa mtelemko tu.
 
== Picha ==
 
<gallery>
Rheinfall 001.ogv|Video ya ya maporomoko ya [[mto Rhine]] huko [[Uswisi]]
Mstari 27:
</gallery>
 
== Tanbihi ==
 
{{reflist}}
[[jamii:mito]]
[[Jamii:Maporomoko ya maji]]