Filamu za Hood : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5897543 (translate me) |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 1:
'''Filamu za Hood''' (kutoka [[Kiing.]]: '''Hood film''') ni aina ya filamu yenye asili ya [[Marekani]] hasa mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa
Mfano halisi wa filamu za aina hii ni kama vile ''[[Boyz n the Hood]]'' na ''[[Menace II Society]]'', ambazo mtindo wake wa hadithi almanusura iupe umaarufu kupindukia mchezo huu. Mwanzoni mwa miaka ya 1996, lakini, filamu za hood zilionekana kama chombo cha watengenezaji filamu weusi kinachohaha kukwepa utofuati baiana ya ufananisho wa filamu za Kizungu.
|