Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Michezo''' ni [[amali]] au ma[[zoezi]] ya ki[[mwili]] ambayo mara nyingi yana [[ushindani]] ndani yake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika [[jamii]].
===Aina ya mchezo===
*mpira wa mikono
*mpira wa miguu
*mpira wa kikapu
 
Kuna pia [[michezo]] inayotumia vifaa kama vile [[mpira]], [[silaha]], [[baisikeli]], ma[[boti]] n.k.
 
Mifano [[maarufu]] ya michezo ni [[Mpira wa miguu]], [[mpira wa kikapu]], [[mpira wa mikono]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea na kadhalika.
 
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao si kwa kujiburudisha, bali kikazi na kwa [[malipo]].