Jokofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Food into a refrigerator - 20111002.jpg|thumb|Chakula ndani ya jokofu lililofunguliwa.]]
[[File:LG refrigerator interior.jpg|thumb|Jokofu lingine kubwa zaidi likiwa na [[friza]].]]
'''Jokofu''' (pia: '''jirafu''', tena '''friji''' kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "fridge", [[kifupisho]] cha "refrigerator" kilichotumika tangu [[karne ya 17]]) ni chombo chenye [[umbo]] la [[kabati]] au [[sanduku]] kinachotumika mara nyingi kuhifadhi [[vinywaji]], [[vyakula]] na vitu vingine kama hivyo ili viweze kudumu kwa muda mrefu zaidi ya siku zile ambazo zingedumu bila kuhifadhiwa humo.
 
Pia jokofu hutumika kwenye kugandisha vitu kama vinywaji, vyakula n.k. au hutumika kuvipa ubaridi.
 
Ni kifaa kilichotengenezwa na [[Wazungu]] kuanzia katikati ya [[karne ya 18]], na hasa mwanzoni mwa [[karne ya 19]].
 
== Historia ==
[[File:Gorrie Ice Machine.png|right|thumb|Mpangilio wa mashine ya barafu ya mashine ya barafu ya John Gorrie ya 1841.]]
NiJokofu ni kifaa kilichotengenezwa na [[Wazungu]] kuanzia katikati ya [[karne ya 18]], na hasa mwanzoni mwa [[karne ya 19]].
'''Teknolojia ya friji'''
 
Kabla ya [[uvumbuzi]] wa friji, [[barafu]] zilitumiwa kutoa hifadhi ya [[baridi]] kwa zaidi ya [[mwaka]] mzima. Njia ya asili bado hutumiwa wakati wa kula [[chakula]] cha leo. Kwenye [[milima]] au kwenye [[mchanga]] wa [[theluji]] ndiondiyo njia rahisi iliyo tumiwailiyotumiwa kufanya [[vinywaji]] kuwa baridi, na wakati wa [[majira ya baridi]] mtu anaweza kuweka [[maziwa]] safi kwa muda mrefu tu kwa kuiweka nje. Neno "friji" lilitumiwa tangu karne ya 17(''kumi na saba'').
 
==Marejeo==